Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
Kama hii ya kwako!...issues za maana ama sizijadiliwe au zisipewe uzito unaostshili hapa ukumbini. Nasema hivi kwa kuwa nimeona trend inayoshika kasi kwa watu wale wale kuanzisha threads ambazo hazina kichwa wala miguu (lakini provocative) ili watu walazimike kuchangia. The final result ni kuwa watu tunaacha kufikiria na kuyashughulikia mambo ya maana na kukaa kuchangia threads utumbo ambazo haziwezi kuchangia katika kuleta mabadiliko tunayoyahitaji nchini mwetu. Naomba tuanze kuzipotezea threads zinazoonekana wazi kuwa za kipuuzi kwa kutozichangia.
Kama hii ya kwako!
Kama hii ya kwako!
Unywaji wa gongo zilizochanganyikana na kinyesi ni mbaya sana. Ona sasa ulivyojivua nguo na kubaki uchi!Wewe ni mfano hai wa hao niliowakusudia kwenye bandiko langu. Shame on you and your likes boot-lickers, people who are ready to sell your own souls! Una nini la kujivunia wewe, kutupiwa makombo? Acha kutumiwa b.w.e.g.e wee!
Tofauti yako na hao unaowasema ni ipi mbona siioni!!...issues za maana ama sizijadiliwe au zisipewe uzito unaostshili hapa ukumbini. Nasema hivi kwa kuwa nimeona trend inayoshika kasi kwa watu wale wale kuanzisha threads ambazo hazina kichwa wala miguu (lakini provocative) ili watu walazimike kuchangia. The final result ni kuwa watu tunaacha kufikiria na kuyashughulikia mambo ya maana na kukaa kuchangia threads utumbo ambazo haziwezi kuchangia katika kuleta mabadiliko tunayoyahitaji nchini mwetu. Naomba tuanze kuzipotezea threads zinazoonekana wazi kuwa za kipuuzi kwa kutozichangia.
Watu wamekushambulia sana, unajua kwa nini? Kwa sababu hujatoa hata mfano mmoja wa THREAD UTUMBO. Inawezekana kabisa hujiamini na ulichokiandika na yawezekana ukawa mtoa utumbo namba moja....issues za maana ama sizijadiliwe au zisipewe uzito unaostshili hapa ukumbini. Nasema hivi kwa kuwa nimeona trend inayoshika kasi kwa watu wale wale kuanzisha threads ambazo hazina kichwa wala miguu (lakini provocative) ili watu walazimike kuchangia. The final result ni kuwa watu tunaacha kufikiria na kuyashughulikia mambo ya maana na kukaa kuchangia threads utumbo ambazo haziwezi kuchangia katika kuleta mabadiliko tunayoyahitaji nchini mwetu. Naomba tuanze kuzipotezea threads zinazoonekana wazi kuwa za kipuuzi kwa kutozichangia.
Watu wamekushambulia sana, unajua kwa nini? Kwa sababu hujatoa hata mfano mmoja wa THREAD UTUMBO. Inawezekana kabisa hujiamini na ulichokiandika na yawezekana ukawa mtoa utumbo namba moja.
Unywaji wa gongo zilizochanganyikana na kinyesi ni mbaya sana. Ona sasa ulivyojivua nguo na kubaki uchi!
Nakuunga mkono mkuu....issues za maana ama sizijadiliwe au zisipewe uzito unaostshili hapa ukumbini. Nasema hivi kwa kuwa nimeona trend inayoshika kasi kwa watu wale wale kuanzisha threads ambazo hazina kichwa wala miguu (lakini provocative) ili watu walazimike kuchangia. The final result ni kuwa watu tunaacha kufikiria na kuyashughulikia mambo ya maana na kukaa kuchangia threads utumbo ambazo haziwezi kuchangia katika kuleta mabadiliko tunayoyahitaji nchini mwetu. Naomba tuanze kuzipotezea threads zinazoonekana wazi kuwa za kipuuzi kwa kutozichangia.