Kuna jambo linanisumbua?

Nakuchukia sana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
498
Reaction score
961
Sijui na tatizo gani?Kila siku nikilala naota ndoto nyevu.sijui n tatizo ganI linansumbua,kila siku nikiamka surual imeolewa.Sijui na jamiana na mizuka au nifungo vya giza

Ebu wakuu nisaidien kimawazo, maana hili sio mchezo na pata mademu wengi ndoton,kuliko kiuhalisia.
 
Pole mkuu. Karibia kila mtu ana ilo tatizo.
 
Kaukwee mnazi kwa kono moja mara kwa mara, ili kuepuka adha unayoipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…