Kuna huduma Western union 24 Hrs?

Kuna huduma Western union 24 Hrs?

Edward A Chapa

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
973
Reaction score
1,394
Habari ndugu wana JamiiForums samahani nilikuwa nauliza kuna sehemu naweza kupata huduma ya Western union ambayo inakesha 24 hours kwa hapa Dar es salaam ni maeneo gani?
 
Mmmmh...sidhani...huduma nyingi za kifedha (hususan kwa tanzania) huwa hazikeshi...
 
Asante kwa kunifahamisha, ila daah kuna pesa nimetumiwa kwa Western union na kesho Holiday sijui itakuwaje.
 
Hii huduma ilitakiws iwepo 24/7 kwani ipo Globally na tumepishana masaa na pia holidays hivyo wanapofunga huku kwetu kuwa ni usiku wakati kwa wenzetu ni mchana wanakosea
Ama wanafunga kwa kuwa kwetu ni Muungano wakati wenzetu wapo kazini sio sawa
 
Kweli ndugu!
 
Uganda ipo huduma Hiyo nakumbuka mwaka 2010 niliwai toa pesa saa 9 usiku
 
Asante kwa kunifahamisha, ila daah kuna pesa nimetumiwa kwa Western union na kesho Holiday sijui itakuwaje.

Nenda benki ya Posta katika matawi yafuatayo, Ubungo plaza, samora katikati ya jiji au kariakoo utapata huduma hiyo.
 
Back
Top Bottom