Umeongea mambo ya msingi sana. Ila kuna pimbi watakupingaUkatuni wenyewe ni...
Utakuta mwanaume anatafuta mpenzi huenda alikua single au anaongeza mchepuko na akafanikiwa kupata,
Kapata mtoto akamtunuku tunda siku hiyo hiyo,
Baadhi ya wanaume tulivo ng'ombe unatoka hapo na dharau kibao mala ohh demu mwepesi vile, mala demu malaya, mala ndani ya week tu nika mla, bla bla nyingi
Kwenye sex napo.. mala kanipa style fulani nikajua kabisa huyu malaya.. HAYO NDIO YANAKUA MALIPO YAKE, kisa kajiachia kwako.
Huo ni ukatuni sio siri.
Najiuliza ukikutana na wale ambao mnaingizana chumban anagoma kuvua chupi utasemaje??
Ukatuni wa pili..
Sisi wanaume ndio kichwa kama mnavyojua..
Kitendo cha kufanya mapenzi bila kujali utampa mimba dada wa watu au la na huna malengo nae.
kwa nin kumekua na watu wameshindwa kujitambua katika hili?
At least, approximately siku za mwanamke kubeba mimba ni kama 7 katika mwezi, zingekua nyingi sijui ingekuaje.
(Mwaka 2020) vunja mifupa ingali bado meno iko.
Yuko desparate....Umeongea mambo ya msingi sana. Ila kuna pimbi watakupinga
π€π€Wakati mwingine wanaume hatujui nini tunataka kwa mwanamke, cos ukizungushwa mwaka mzima hupewi mbunye malalamiko kibao, ukipata dem muekewa unamtongoza na kupewa mbunye on a single day, unaanza ushamba wako mala malaya, kicheche, na majina mengi ya udhalilishaji!! Tuache tabia za kiwaki hizo..
Sent using Jamii Forums mobile app
OoohYuko desparate....
Na ndipo lilipozaliwa lile jina #Wanaume wote ni umbwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ukatuni ni UfalaUkatuni wenyewe ni...
Utakuta mwanaume anatafuta mpenzi huenda alikua single au anaongeza mchepuko na akafanikiwa kupata,
Kapata mtoto akamtunuku tunda siku hiyo hiyo,
Baadhi ya wanaume tulivo ng'ombe unatoka hapo na dharau kibao mala ohh demu mwepesi vile, mala demu malaya, mala ndani ya week tu nika mla, bla bla nyingi
Kwenye sex napo.. mala kanipa style fulani nikajua kabisa huyu malaya.. HAYO NDIO YANAKUA MALIPO YAKE, kisa kajiachia kwako.
Huo ni ukatuni sio siri.
Najiuliza ukikutana na wale ambao mnaingizana chumban anagoma kuvua chupi utasemaje??
Ukatuni wa pili..
Sisi wanaume ndio kichwa kama mnavyojua..
Kitendo cha kufanya mapenzi bila kujali utampa mimba dada wa watu au la na huna malengo nae.
kwa nin kumekua na watu wameshindwa kujitambua katika hili?
At least, approximately siku za mwanamke kubeba mimba ni kama 7 katika mwezi, zingekua nyingi sijui ingekuaje.
(Mwaka 2020) vunja mifupa ingali bado meno iko.
Kabisaa!Ni ufala mkubwa