Derimto i,aonyesha ni jinsi gani ulivyo kipofu au mlevi wa kufikiri hakuna taarifa isiyokuwa na source,ikiwa hivyo basi ni ya kutunga.Hatuwezi kuwa vampire kwa kudaka kila kinachorushwa.Wote tukiwa na akili kama zako hatutarajii kutoa njia ya kutatua kwani hakuna haki isiyo na sheria.Tambua no evidence no right to speak katika ''court''.

Hatuna njia nyingine ya kuwahukumu hawa zaidi ya sheria,hivyo tukiwa wanajanvi kila mtu anafani yake.Tambua hatuko kusoma tu hapa na kupata cha kuchagiza kwenye vijiwe vya kahawa ''hapana'',wengine tunayafanyia kazi yanayojitokeza kulingana na uzito wake.

Nakushauri jaribu kubadilika na kuwamtekelezaji zaidi ya msomaji tu kwani uzalendo wako haujengwi hivyo ila ni ishara ya grapevines.Huwezi kuongelea habari ambayo inahitaji maamuzi huku huna taarifa za kutosha,lazima tu itaishia kapuni ama mtaani tu kama ''vapour gossip''.Pia tujenge mazingira ya kuisaidia jamii kwa kwenda mbali zaidi(huu ndio uzalendo) si tu kuishia kusoma na kulalama hapa.

Otherwise sipingi ''tetesi''ila nachukia tetesi zinazokuja na kuishia hewani bila mtoa hoja kutuambia kwa nini zimepotea kama ilivyotokea kwa ''Shimbo''.Jamani trillion tatu ni fedha nyingi,haiwezekani habari yake kupotea kienyeji hivi hivi tu.Je!tukisema hawa waleta tetesi huwa wanaongwa kuzipotezesha bila shaka hizi nazo zitakuwa ''tetesi'' kutokana na kutokuwa na ushahidi.Tuwe makini si vyote ving'aavyo ni dhahabu.
Wana jamii forums,kuna dola zaidi ya milioni 30 inazungushwa huku na kule,kwa sasa iko NMB na wakubwa wa bank hii wanatia mgoma wa kuipeleka kwenye account ya nje ya nchi.last week waliitwa mahaka kuu saa kumi na moja na kuamriwa wazipeleke hizo hela haraka sana kwenye account waliopewa.mahakama yetu kweli imeoza na iko bega kwa bega na mafisadi kuiangamiza nchi.
Kuna habari ambazo zimepatikana kuwa NMB hawako tayari kufanya uozo huu na hela iko njiani kupelekwa CRDB ili ziweze kupelekwa nje ya nchi.
Orders kutoka BOT,ikulu na mahakama kuu kuwaamuru wakubwa hawa wa bank zipo na tunasubiri tu mda muafaka tuziweke hadharani
Tutazidi kujuzana issue inavyoendelea

Haya mambo unayoandika kama yangekuwa ndivyo ilivyo basi mapesa ya watanzania yasingeporwa. Jiulize tu swali dogo je pesa zinazotumwa kwenye balozi zinapitia scrtunity hizo zote????? Kwenye international finacial transation kuna loophole kubwa tu na kuna watu wasio waaminifu wanajua jisni ya kucheza nayo au wanatumia privilage walaizonazo kucheat system.

Mfano

tuajua wote kusafirisha madawa ya kulevlya ilivyo kazi na risk kubwa kwa mtu wa kawaida lakini once mtu mwenye diplomatic passport akimua ku abuse passport yake yeye risk zake za kukamwatwa zinakwua ni ndogo.....

Hivyo ndivyo ilivyo. complication unazoongelea wewe ni za masanja kutuma pesa lakini "system" au privillged ppl witin the system individually wa kiamua kuwa involved complication zinapungua.

This is too fishy! Nilihangaika sana kumtumia mdogo wangu ada ya USD 7000 kutoka Tanzania kwenda US, kuna vielelezo kibao nilitakiwa kuambatanisha ikiwa ni pamoja na Acc na Adress ya chuo, na form mlima za kujaza. Hii ni habari kama aliyoweka Invisible na kutetewa na Maxence...Nahisi kuna uongo hapa pia....Nguli Jabali niko na wewe!

NB

Magamba ni wezi sana wa cake ya taifa ila wanatumia akili kidogo....Mahakama gani hiyo imamuru malipo? Acheni kamba zenu bana...

Nashukuru kwa ufahamu mkuu kuhusu fedha za balozi hilo nilikuwa sifahamu ila nitaangalia pia namna wanavyofanya. Lakini angalia maswali yangu basi uyajibu?

Kuhusu hizo fedha huwezi ku debit a/c ya mtu bila ruhusa yake je Meremeta ni akina nani? Je wametoa ruhusa? Kama ziko kwenye suspense account nani karuhusu kuguswa? Kwa sababu mahakama haiwezi kuinglia unless kuna mlalamikaji.
Nguli nadhani nchi hii huielewi vizuri,sasa kwa kukusaidi kaulize NMB head wao wa treasury na md wao waliitwa mahakama kuu kufanya nini na ilikua ni saa kumi na moja jioni kwa taarifa yako. Tutaliangamiza taifa hili kama tuko wagumu kuelewa jinsi mtandao wa kifisadi unavyofanya kazi
Account number...NIL
Account owners...NIL
Sort Code....NIL
Recipient's details....NADA
another day another conspiracy theory from JF

Nguli nadhani nchi hii huielewi vizuri,sasa kwa kukusaidi kaulize NMB head wao wa treasury na md wao waliitwa mahakama kuu kufanya nini na ilikua ni saa kumi na moja jioni kwa taarifa yako.

Tutaliangamiza taifa hili kama tuko wagumu kuelewa jinsi mtandao wa kifisadi unavyofanya kazi

Mkuu thanks! Ila mm nikamuulize MD nitaanzia wapi? Sikatai kama waliitwa labda wali discuss issue nyingine sio huo wizi. Kama hii TETESI yako itakuwa kweli naomba BAN ya mwezi mzima. Please mode note this request.

This is too fishy! Nilihangaika sana kumtumia mdogo wangu ada ya USD 7000 kutoka Tanzania kwenda US, kuna vielelezo kibao nilitakiwa kuambatanisha ikiwa ni pamoja na Acc na Adress ya chuo, na form mlima za kujaza. Hii ni habari kama aliyoweka Invisible na kutetewa na Maxence...Nahisi kuna uongo hapa pia....Nguli Jabali niko na wewe!

NB

Magamba ni wezi sana wa cake ya taifa ila wanatumia akili kidogo....Mahakama gani hiyo imamuru malipo? Acheni kamba zenu bana...

Unamaana hi habari inafanana na ile ya kuzimia kwa Lut. General Shimbo baada ya kukutwa na matriioni SA? Kwani ile habari ilikuwa ya uongo?
Nilijua invizibo hadanganyi....hahahahahaUle ni uwongo Mtakatifu kutoka kwa MODs, aliingizwa chaka ingawa naye aliendelea kusema uwongo eti ana screen shot la computer zikiwa ninaonyesha malipo hahahahahahahah usimeze kila kitu JF! Zingine ni sumu always kuwa na maziwa ya ku-neutralize
Nilijua invizibo hadanganyi....hahahahaha
Wana jamii forums,kuna dola zaidi ya milioni 30 inazungushwa huku na kule,kwa sasa iko NMB na wakubwa wa bank hii wanatia mgoma wa kuipeleka kwenye account ya nje ya nchi.last week waliitwa mahaka kuu saa kumi na moja na kuamriwa wazipeleke hizo hela haraka sana kwenye account waliopewa.mahakama yetu kweli imeoza na iko bega kwa bega na mafisadi kuiangamiza nchi.
Kuna habari ambazo zimepatikana kuwa NMB hawako tayari kufanya uozo huu na hela iko njiani kupelekwa CRDB ili ziweze kupelekwa nje ya nchi.
Orders kutoka BOT,ikulu na mahakama kuu kuwaamuru wakubwa hawa wa bank zipo na tunasubiri tu mda muafaka tuziweke hadharani
Tutazidi kujuzana issue inavyoendelea
Mkuu hapa umeongea ukweli mtupu maana kina vijigamba vidogo vilianza kuleta maneno oooh uongo huo sijui nini...watanzania tubadilike tutakuja ulizwa na watoto wetu hivi nyie baba zetu enzui za ujana wenu mlipigania kweli mali ya watanzania? jamani hii tamthlia ya SHIMBO isiishe hivhivi sasa hivi labda wanahaha kuficha ukweli...Mungu tunaomba uendelee kuwavua nguo hawa mafisadi tena wapate ukichaa ili waweze kutuelezea vizuri....Haya tunayataka wenyewe maana watu walileta issue ya Shimbo hapa jamvini na wengi wetu tulianza kuwashambulia eti wametoa wapi taarifa hizo!? badala ya kila mzalendo kuanza kutafuta ukweli kwa kutumia vyanzo mbalimbali tumeanza malumbano utadhani tumelogwa mpaka ile thread ikachomolewa kwa sababu tumezoea ili taarifa iwe ya halali lazima itolewe na mafisadi kupitia habari leo na tbc1 vinginevyo watu watatishwa sana na wametishika yako wapi ya Shimbo sasa? Kila mtu amefunga mdomo WACHA WACHUKUE TUMECHOKA NA MAJUNGU TULIYO NAYO NA WOGA ULIOPITILIZA.