Unamsingizia ni hr wa tanesco mbeya, mtu safi namjua ndani nje. Kama ajila saizi wanatoa tamisemi yeye unataka afanyaje acha bifu za ajabu mkuu.Yani kuna ma Hr wana roho Mbaya sana, kwanza wanakuona unafaidi sana unapopata ujuzi,
Yani anapoona unafanya kazi anaumia kinoma yani kwa nini unafanyakazi hapa utazani Ela unazopata mshahara wake unapungua , Mmoja wa Hr mwenye roho Mbaya ni Essau , namchukia huyu mwamba kanialibia mipango.
Ila inabidi serikali itunge sheria za kuwabana Hawa watu, wanajimilikisha mashirika ya uma kama ya kwao.
Note : Ila wakina Essau mpo wengi mwenye roho Mbaya anajijua yupo shirika gani? Ukiona una roho nzuri unajitoa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamsingizia ni hr wa tanesco mbeya, mtu safi namjua ndani nje. Kama ajila saizi wanatoa tamisemi yeye unataka afanyaje acha bifu za ajabu mkuu.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Umeamua kuja kujitetea au acha roho Mbaya , silent is betterUnamsingizia ni hr wa tanesco mbeya, mtu safi namjua ndani nje. Kama ajila saizi wanatoa tamisemi yeye unataka afanyaje acha bifu za ajabu mkuu.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Ulijua atumjui acha izo kaka haipendezi kumchafua mtu wakati hana kosa sio poa unaweza kuchukulia kawaida ila kuna mamilioni ya watu wanaona post yako wanamchukuliaje acha chuki binafsi muombe mungu akufungulie milango na ww, ukiona anafaidi na ww kasome hr
Mkuu mimi pia nasapoti suala la kujiajiri ila katika mchakato huo wa kujiajiri huoni kama itakuwa vizuri mhitimu apitie kwanza katika sekta fulani afanye kazi ili kujua changamoto zilizopo katika mifumo ya utoaji huduma kisha akipata SKILLS za kutosha kuhusiana na taaluma yake..Mkuu ungejiajiri tuu achana na hizi sarakasi
Kukiwa na sera nzuri, sheria na utaratibu mzuri hata hao HRs sidhani kama watakuwa na la kufanya ila itakuwa ni suala la kufuata utaratibu tu..Yani kuna ma Hr wana roho Mbaya sana, kwanza wanakuona unafaidi sana unapopata ujuzi,
Yani anapoona unafanya kazi anaumia kinoma yani kwa nini unafanyakazi hapa utazani Ela unazopata mshahara wake unapungua , Mmoja wa Hr mwenye roho Mbaya ni Essau , namchukia huyu mwamba kanialibia mipango.
Ila inabidi serikali itunge sheria za kuwabana Hawa watu, wanajimilikisha mashirika ya uma kama ya kwao.
Note : Ila wakina Essau mpo wengi mwenye roho Mbaya anajijua yupo shirika gani? Ukiona una roho nzuri unajitoa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo usilo lijua ni kama usiku wa giza? Roho Mbaya haijengi,Ulijua atumjui acha izo kaka haipendezi kumchafua mtu wakati hana kosa sio poa unaweza kuchukulia kawaida ila kuna mamilioni ya watu wanaona post yako wanamchukuliaje acha chuki binafsi muombe mungu akufungulie milango na ww, ukiona anafaidi na ww kasome hr
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app