'watanzania hebu fikiria kocha wazawa wa yanga na azam kuungana au kusaidiana na huyu kocha nooj ingekua bora kwa sababu unawaongezea uzoefu katika mashindano yao yajaayo lakini mnachukua kocha ambaye baada ya kusaidia kufundisha stars atakua kijiweni muda wote.kweli tutaendelea wapi.