Ngutunyi junior
Member
- Feb 22, 2019
- 51
- 27
Ni kosa kweli ametenda Kama mwanadam ila si kwa adhabu ile dhidi yake kwani mara ngapi mahakimu uwafunga watu kwa makosa au chuki na kupindisha haki sababu ya fedha au wazifa wa mtu furani....mnadhani ni sawa kumnyonga aliekufa kafa tu atuwezi rudisha uai wake ,sidhani ata mwalim alipokuwa anatoa adhabu alidhamilia kuuwa ile ni ajari Kama ajari nyingine mkumbuke pia yule mwalim ana watu nyuma yake wanamtegemea je mmejiuliza mnawaachaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app