Tatizo muomba ushaur hataki kueleza side A ilikuwaje hadi jamaa anaamua kufanya haya,maana inaonekana kuna jambo kubwa alilofanya huyu mwanamke ndo maana yametokea haya..na kwa uzoefu ni kuwa wanawake huwa ni watu wanaoanza kuumiza wanaume kwa kutokuwa waaminifu,mwanaume akifanya yake huwa mwanamke husika hupiga kelele sana kuwa anaonewa na hawako tayar kusema ukweli kwa walichofanya...nina amini hiyo mimba itakuwa ilishaleta mgogoro haswa wa jamaa kutokuwa na imani kuwa ni yake..
Jaman hili ni jukwaa huru kila mtu ana hak ya kuomba ushauri sasa nyie nin mnajibu vibaya hivyo mwenzenu
Don't complecate your self mkuu. Mdada ameuliza kwamba baada ya kujifungua, jekunahaja ya kumpa taarifa x wake?
Stori kama hizi zinasikitisha sana..hivi siku hizi kuna watu bado wanakimbia watoto kweli ..?!
Nawe hukulazimishwa uandike chochote. Mtu anapokuja na post ya kuomba ushauri solazima umseme mbaya. Kwani angekua dada yako ungemtolea maneno yenye maumivu kiasihicho?