Kuna haja ya kubadilisha mitaala ya vyuo vikuu

Kuna haja ya kubadilisha mitaala ya vyuo vikuu

Chingabwoy

New Member
Joined
Dec 16, 2020
Posts
4
Reaction score
5
Elimu ya chuo inamjenga kijana kujiimarisha zaidi katika kile anachosomea, lakini kumekuwa na msomgamano wa masomo mengi ya ziada ambayo kwenye soko la ajira hayatambuliki.

Kwa mfano mwanachuo wa UDOM anayesoma elimu ya Geografia na mazingira badala ya guiding yake kubase na kuyapa muda wa kutosha masomo yanayohusiana na Geography anatumia muda mwingi kuanzia mwaka wa kwanza mpaka anamaliza kusoma vitu ambayo sio specific na sio professionalism yake kwa mfano RURAL PLANNING, AGRICULTURE, URBAN PLANNING, ENTREPRENEURSHIP, na kozi nyingine.

Kwanini wasisome walengwa wa hayo mambo maana kama nipo sehemu ya specialisation na siwezi kuomba kazi kwenye tourism, kwenye planning nasoma chuoni ili yanisaidie nini? Maana kama basis ya hivyo vitu nimesoma toka Secondari na advance chronic vya nn?
 
Kazi zilizopo sio ajira zilizopo kwenye masomo.
Masomo mengine mfano political science usome labda una nafasi ya chama cha siasa,mwandishi wa habari mkwongwe wa siasa.

Hivi leo usome nguvu za atomic ukaajiliwe wapi 😂 labda kwa kiduku na iran
 
Sisi huku afrika hatutafuti wataalamu, wewe unafundishwa mambo mengi ili uje ubahatishe kazi kwenye mojawapo ya hizo fani lukuki ulizogusa gusa 😐
 
Wew shukuru umemaliza chuo salama acha kulaumu serikali 😂, ungebadili kozi mapema
 
Wew shukuru umemaliza chuo salama acha kulaumu serikali 😂, ungebadili kozi mapema
Suala sio kozi yangu, tunachoongelea ni koz kuhususha masomo ambayo sio relevant na hayana maan kwa sababu kuna wanaosoma hayo masomo kama basis na hii koz nyingi zipo hivyo
 
Wanaangaisha tu sio sir masomo mengi hayan maan
Mkuu we yasome tuu.. kibongo bongo unaweza kusoma geography and environment ukaishia kuja kuwa content creator au wakala ukashangaa communication skills ndio inakuweka mjini 😀
 
Back
Top Bottom