Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
Ukiongeza umakini katika kumuangalia utaona kabisa kuwa kuna fuse zinahitaji fundi umeme.nje ya mada hivi lile shambulio lake alilo lisema kashatimiza au bado?
Walimuomba msamahanje ya mada hivi lile shambulio lake alilo lisema kashatimiza au bado?
kuuumbeπ π ,, kwahiyo uhai wa mdogo wake ndo basi tenaWalimuomba msamaha
Nani wa kumuomba msamaha yuleWalimuomba msamaha
Kama ni fuse basi bongo wapo wengi sana kuanzia na namba waniUkiongeza umakini katika kumuangalia utaona kabisa kuwa kuna fuse zinahitaji fundi umeme.
Maybe ila sio zote zinahitaji fundi umemeKama ni fuse basi bongo wapo wengi sana kuanzia na namba wani
ππππUkiongeza umakini katika kumuangalia utaona kabisa kuwa kuna fuse zinahitaji fundi umeme.
Za ndani hizo.hauwezi jua.Nani wa kumuomba msamaha yule
Aje public aseme, na tumuone HP piaWalimuomba msamaha
Za hawa wa ndani wacha tu ziji short circuit tuanze mapambio. Shida yangu tai bendera naye aende mafichoni maana anabwata sana uraianiMaybe ila sio zote zinahitaji fundi umeme
πππZa hawa wa ndani wacha tu ziji short circuit tuanze mapambio. Shida yangu tai bendera naye aende mafichoni maana anabwata sana uraiani