Fence, Google fence ni nini?
Na faida za fence ni zipi?
Utengano wa kijamii ni vile ww unajiweka na Familia yako Kama unawafungia watoto ndani lazima waje kuwa madomo zege, lazima mjifunze kualikana katika sherehe mbali mbali pia lazima ujifunze kuacha majivuno na maringo baina yenu kwani Utengano wa kijamii hautokani na fence Bali hutokana na hayo mambo......
Faida za fence ni ulinzi na usalama wa nyumba, urembo wa nyumba, usiri wa nyumba not last but least kuepusha migogoro ya mipaka ya viwanja baadae kwani fence hujengwa angalau kwa kuacha mita moja nyuma ya mpaka wako na jirani yako nae hivyo hivyo hii yote husaidia endapo Kuna eruptions of fire magari yaweze ingia kuuzima moto....
Wengine wataongezea..