Inaweza kuwa ngumu kwako lakini sio kwa wote kaka, its all about your business strategy. Mbona Zantel wanao yakwao, ila sio kwa commercials. Anyway mi nilichokuwa nahitaji sio kubishana kuwa kama inawezekana au haiwezekani.
Ninachohitaji ni kujua kama kuna kampuni inatoa hiyo service au la. Kuhusu uwezekanaji wa kuweka data center au kutowezekana kwangu haitanisaidi.
All I need naangalia option za kuhost system in Zanzibar au niiweke kwenye cloud