Kwani hamjawahi kucheza na AL AHLY huku MKUDE akicheza?Mpira umebadilika sana siku hz na kuna tofauti kati ya holding midfielder na defensive midfilder.
Unamuona SERGIO BUSQUETS au ulishamuona MICHAEL CARRICK akicheza? Hao ni namba 6 aina ya MKUDE ambao hawakimbii sana na kufanya tackling nyingi uwanjani isipokuwa timu nzima inafanya jukumu la kukaba wakati hawana mpira.
So inategemea mwalimu wa SIMBA atataka namba 6 wake achezeje.Kuna tofauti ya kiuchezaji kati ya namba 6 ya RODRI,FABINHO na KANTE.