Kuna code mpya kwa King'amuzi cha Startimes?

poposindege

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
456
Reaction score
175
Habari wadau!
Kitambo tulipoteana baada ya mtandao wetu pendwa kutokuwepo hewani lakini sasa upo hewani
wakushukuriwa ni mungu kwa kurejea tena kama awali.

Ndugu zangu naomba msaada wa kupata Code za kuingiza katika king'amuzi cha startimes kupata local Channel. Mwanzo nilikuwa napata kwa kutumia Code za 546 na 474 napata Channel za hapa nyumbani.

Kwa sasa napata Chaneli moja tu ya TBC1

Lakini kwa sasa sipati. Je kuna code mpya? Mwenye kuweza kunisaidi tafadhali anisaidie. Natumia king'amuzi cha Antena. Nipo Dar.
 
Natumia dish ndgu naomba kodi
 
wakuu naombeni msada wenu king'amuz changu kinasumbua Nikiasha kina katakata hovyo yani nakosa raha kabisa Em nielekezeni tatzo laweza kuwa nini? natumia startimes. msaada wenu wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia signal kwenye dish lako ziko asilikia ngapi? Inawezekana dish limeyumba kidogo. Bado uko kwa mchina🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom