Kuna clip inayodaiwa kuvuja na kama hiyo clip ni ya kweli, basi anguko la hawa watu haliko mbali na huenda wanahujumiana(hawako pamoja)

Mauaji hayapangwi hivyo. Hofu yako tu. Hizo ni stories kama za Simba na Yanga kushambuliana nje ya uwanja.
 
Kwa technology ya sasa hii hii clip naweza kuiwekea sauti hata ya Mbowe or Mdee au mtu yeyote yule. Tupe video kama ya yule omba omba wa kimataifa akiwa kwenye wheelchair. Hapo utaaminika sio swala la sauti.

Sent using Jamii Forums mobile app

Samahani mkuu na wewe sijui unaweza ukawa na clip ya wale wauwaji wasio julikana walio mshambulia Mheshimiwa Tundu Lisu maana cctv camera mnazo mafichoni. Clip ya waliovamia clouds tv tuliiona sijui ilikuwa ya kutengeneza! Mkuu nakumbuka na clip ya yule mwana usalama alie mtolea Mh Nape bastola nayo sijui ilikuwa ya kutengeneza! Nawaza tu mkuu.
 
Najaribu kutafuta uhisano na clip ya audio na ulicho andika sioni.
Bado na sisitiza weka video tuone kama alivyo onekana omba omba wa kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kutafuta uhisano na clip ya audio na ulicho andika sioni.
Bado na sisitiza weka video tuone kama alivyo onekana omba omba wa kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama umeshindwa kupambanua nilicho andika pole mkuu sina jinsi ya kkusaidia. Mnampa mjina ya kashfa mlietaka kumuua lakini taarifa za uchunguzi wa shambulio lake hamzitoi. Poleni sana nadhani mnajilaumu sana kwa kushindwa jaribio lenu la mauaji. Mtapata taabu sana.
 
1. ELIMU
2. ELIMU
3. ELIMU
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila kitu cha kuweka vingine ni vitu sensitive hasa ukizingatia mvutano uliopo juu ya hii issue.
Sasa imeletwa hapa kwa nini?
Unataka watu tuote yaliyoko kichwani mwako?
Tutachangia nini kama hata hatujui ulichokiona au kusikia??
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…