Bibi alishasema kuwa siyo kazi ya serikali kutengeneza ajira!!Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioani hajauza hata miatano na anataka kula na anafamilia. Nikamuonea huruma nikampa elfu tano.
Hakuna mkakati wowote wa serikali wa kushughurika na hii unemployment rate kubwa ambayo aimeibuka ghafla as if tayari tuko kwenye full employment.
Mfano shule hazina walimu wa arts, sayansi wala biashara ziko empty kabisa. Ukienda mashuleni utamkuta mwl wa physics anafundisha kuanzisha form one Hadi form six peke yake na wanafunzi ni wengi sana. Vivyohovyo kwa arts.
Hakuna sababu kwa Nini kuwe na unemployment kubwa hivyo wakati employment vacancies zipo ispokuwa tu ni poor planning na kuwachukulia vijana poa tu.
Siyo wote wanaojiuza mtaani wanapenda serikali Bado haioni tatizo liko wapi zaidi sana wanakimbizana nao tu ili kuwakamata.
Haiingii akilini mtu anasoma muhimbili five years halafu AA anakuja kuwa bodaboda au kuuza kahawa mtaani. Kuuza kahawa hakuhitaji degree wala masters.
Slowly mnatengeneza vikundi viovu bila kujijua. Mi nawaonea huruma sana vijana na badala ya serikali kashughulikia swala hiloa ndo Bado inadeal na wanasiasa sijui maridhiano asijua asali.
Mkuu awamu ya 5 tulifungua viwanda vipya 5,000+! Hawa wasomi kwanini wasiajiriwe mle?Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioani hajauza hata miatano na anataka kula na anafamilia. Nikamuonea huruma nikampa elfu tano.
Hakuna mkakati wowote wa serikali wa kushughurika na hii unemployment rate kubwa ambayo aimeibuka ghafla as if tayari tuko kwenye full employment.
Mfano shule hazina walimu wa arts, sayansi wala biashara ziko empty kabisa. Ukienda mashuleni utamkuta mwl wa physics anafundisha kuanzisha form one Hadi form six peke yake na wanafunzi ni wengi sana. Vivyohovyo kwa arts.
Hakuna sababu kwa Nini kuwe na unemployment kubwa hivyo wakati employment vacancies zipo ispokuwa tu ni poor planning na kuwachukulia vijana poa tu.
Siyo wote wanaojiuza mtaani wanapenda serikali Bado haioni tatizo liko wapi zaidi sana wanakimbizana nao tu ili kuwakamata.
Haiingii akilini mtu anasoma muhimbili five years halafu AA anakuja kuwa bodaboda au kuuza kahawa mtaani. Kuuza kahawa hakuhitaji degree wala masters.
Slowly mnatengeneza vikundi viovu bila kujijua. Mi nawaonea huruma sana vijana na badala ya serikali kashughulikia swala hiloa ndo Bado inadeal na wanasiasa sijui maridhiano asijua asali.
Tunambebesha Samia lawama za bure tu. Yule Magufuli aliharibu mfumo mzima wa ajira na kipato katika nchi. Kwanza kwa kuanzisha miradi ambayo haina maana kama bwawa la Mwl Nyerere, kujenga viwanja vya hovyo vya ndege, kujenga Dodoma pasi na sababu, kunyima wafanyakazi haki ya msingi ya nyongeza ya mshahara na kuharibu kipato cha familia, kufukuzisha watu kazi hovyo, kuharibu mfumo wa mafao kwa wastaafu na sekta binafsi, kuharibu sekta binafsi, kuharibu mfumo wa siasa wa nchi na mwisho kufa kifo cha kizembe kwaajili ya ujuaji wa kijinga tu. Bye Magufuli.mtaani wanamtukuza sana huyu mtu
Vijiwe vya kahawa, boda Boda na Vijiwe vyengine mitaani wanamtukuza sana mwendazake.Tunambebesha Samia lawama za bure tu. Yule Magufuli aliharibu mfumo mzima wa ajira na kipato katika nchi. Kwanza kwa kuanzisha miradi ambayo haina maana kama bwawa la Mwl Nyerere, kujenga viwanja vya hovyo vya ndege, kujenga Dodoma pasi na sababu, kunyima wafanyakazi haki ya msingi ya nyongeza ya mshahara na kuharibu kipato cha familia, kufukuzisha watu kazi hovyo, kuharibu mfumo wa mafao kwa wastaafu na sekta binafsi, kuharibu sekta binafsi, kuharibu mfumo wa siasa wa nchi na mwisho kufa kifo cha kizembe kwaajili ya ujuaji wa kijinga tu. Bye Magufuli.
😂😂😂😂Vijiwe vya kahawa, boda Boda na Vijiwe vyengine mitaani wanamtukuza sana mwendazake.
Boda boda zinatengenezwa China, bajaji zinatengenezwa India. Sisi tuliua viwanda vyetu vya kutengeneza badkeli, nguo, mwatex, mutex, vya kusindika kahawa, vya kutengeneza betri, matairi, n.k.Ajira zenyewe zilizobaki ni bodaboda
Lakini SI wiki umepitia tu tangu wameanza kulalamika humu na kwenye vipaza sauti kuwa Kuna ajira kubwa sana ya Waendesha bodaboda!Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioani hajauza hata miatano na anataka kula na anafamilia. Nikamuonea huruma nikampa elfu tano.
Hakuna mkakati wowote wa serikali wa kushughurika na hii unemployment rate kubwa ambayo aimeibuka ghafla as if tayari tuko kwenye full employment.
Mfano shule hazina walimu wa arts, sayansi wala biashara ziko empty kabisa. Ukienda mashuleni utamkuta mwl wa physics anafundisha kuanzisha form one Hadi form six peke yake na wanafunzi ni wengi sana. Vivyohovyo kwa arts.
Hakuna sababu kwa Nini kuwe na unemployment kubwa hivyo wakati employment vacancies zipo ispokuwa tu ni poor planning na kuwachukulia vijana poa tu.
Siyo wote wanaojiuza mtaani wanapenda serikali Bado haioni tatizo liko wapi zaidi sana wanakimbizana nao tu ili kuwakamata.
Haiingii akilini mtu anasoma muhimbili five years halafu AA anakuja kuwa bodaboda au kuuza kahawa mtaani. Kuuza kahawa hakuhitaji degree wala masters.
Slowly mnatengeneza vikundi viovu bila kujijua. Mi nawaonea huruma sana vijana na badala ya serikali kashughulikia swala hiloa ndo Bado inadeal na wanasiasa sijui maridhiano asijua asali.
Boda boda zinatengenezwa China, bajaji zinatengenezwa India. Sisi tuliua viwanda vyetu vya kutengeneza badkeli, nguo, mwatex, mutex, vya kusindika kahawa, vya kutengeneza betri, matairi, n.k.
Vijana wanaenda kusoma mechanical engineering ili wafanye kazi viwanda vipi?
Nyerere alivyoanzisha vile viwanda na Magufuli alivyokuwa akihimiza uanzishwaji wa viwanda walikuwa na maana yao. Haya mapoyoyo yaliyo hai hayana vision hata kidogo.
Nakazia hapaNa hawa ndio watu pekee watakao tusaidia kuwatoa ccm madarakani, acha wajae tu mkuu siku wakichoka itakua rahisi sana kukitoa hiki kizazi cha watu walio laaniwa(ccm), mimi nikiona ma-jobless wanaongezeka mitaani kwakweli nafarijika sana naamini hawa ndio watu pekee wa kulikomboa hili taifa siku wakiamka. Hawa chadema na act wazalendo ni ccm wale wale tu hawana jipya tena, wazazi tafadhali sana pelekeni vijana wenu vyuoni wakasome taifa linaangamizwa na wajinga wachache.
Tatizo silaha mkuuu tukipata AK 72 kama buku basi tunawezaYaani ukijitoa muhanga, hutopata 1000 tu, maana vijana wengi mtaani wamekata tamaa, wako tayari kwa lolote, sema wanakosa wa kulianzisha tu..
Jamaa kaandika kile anachokiona wewe unakuja kumuuliza swali. Kwanza hakuna serikali duniani inaweza kuajiri watu wake wote iwe ajira za muda mrefu au mfupi. Inachofanya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya kujiajiri au kutengeneza ajira za muda mfupi ikiwa ajiri za muda mrefu hazipo, hii itasaidia vijana kupata mitaji ya kujiajiri.Mkuu kwan ilani ya tangu 2015 inasemaje kuhus kutengeneza ajira? Maan tang enz hiyo waajiriwa kupata stahiki zao ilikua ngumu kuajiriwa wapya ngum! Sasa iweje zigo ulishushie kwa utawala huu? Mara maridhiano mara asali. Maridhiano yanaingiaje kweny issue ya ukosef wa ajira?
Yaan koote umeongea vizuri Ila hii sentence umeongea pumba sijui uliwaza niniwazazi tafadhali sana pelekeni vijana wenu vyuoni wakasome taifa linaangamizwa na wajinga wachache
Upo sahihi Serikali unafanya hivyo kweli Ila still bado vikwazo ni vingi, mitaji kwa mshahara wa 100,000 kiwandani wakati Chuo ulisoma kozi unalipa M3 kwa mwaka hapo hujaweka gharama zingine does it make sense?Inachofanya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri ya kujiajiri au kutengeneza ajira za muda mfupi ikiwa ajiri za muda mrefu hazipo, hii itasaidia vijana kupata mitaji ya kujiajiri.
Joyce Ndalichako ndio Waziri mwenye dhamana mboni sijamsikia akilizungumzia hili?, sana sana nimeona mama saa100 analisemea vijana wajiajiri, mfumo huu wa elimu umesimamiwa na Ndalichako kwa kipindi kirefu na sasa yeye ndie Waziri mhusika masuala ya Ajira Vijana wako uliowasimamia kipindi wewe ni Waziri wa elimu wamesoma wamemaliza sasa wengi wamezagaa mtaani hawana Ajira hawana kazi angalia namna ya kuwatafutia angle mama mtaani kunachosha,Mkuu hujanielewa labda kwasbb ya lugha, ni limaanisha mfumo wetu wa elimu hauendani na hili halisi ya sasa, unategeneza wasaka ajira sio wategeneza ajira
Lakin mtu mwenye master kweli analalamika ajira au anachagua kazi mkuu? Sasa sisi wa la saba tufanyeje. Mi siamini aisee.Huwa nikitembea mtaani nasikitika sana vijana wanavyohangaika hususani Hawa waliomaliza vyuo vikuu bila ajira yoyote na serikali ni kama imejivua jukumu na kuwaona wakawaida tu kana kwamba wao hawataki maisha.
Juzi nimemuona mtu ana masters anauza nguo za mitumba kwa kutembeza mpaka jioani hajauza hata miatano na anataka kula na anafamilia. Nikamuonea huruma nikampa elfu tano.
Hakuna mkakati wowote wa serikali wa kushughurika na hii unemployment rate kubwa ambayo aimeibuka ghafla as if tayari tuko kwenye full employment.
Mfano shule hazina walimu wa arts, sayansi wala biashara ziko empty kabisa. Ukienda mashuleni utamkuta mwl wa physics anafundisha kuanzisha form one Hadi form six peke yake na wanafunzi ni wengi sana. Vivyohovyo kwa arts.
Hakuna sababu kwa Nini kuwe na unemployment kubwa hivyo wakati employment vacancies zipo ispokuwa tu ni poor planning na kuwachukulia vijana poa tu.
Siyo wote wanaojiuza mtaani wanapenda serikali Bado haioni tatizo liko wapi zaidi sana wanakimbizana nao tu ili kuwakamata.
Haiingii akilini mtu anasoma muhimbili five years halafu AA anakuja kuwa bodaboda au kuuza kahawa mtaani. Kuuza kahawa hakuhitaji degree wala masters.
Slowly mnatengeneza vikundi viovu bila kujijua. Mi nawaonea huruma sana vijana na badala ya serikali kashughulikia swala hiloa ndo Bado inadeal na wanasiasa sijui maridhiano asijua asali.
Mawazo yako yashindwe. Amen.Tatizo silaha mkuuu tukipata AK 72 kama buku basi tunaweza
Waitoe CCM madarakani wakiweke chama gani?Na hawa ndio watu pekee watakao tusaidia kuwatoa CCM madarakani, acha wajae tu mkuu siku wakichoka itakuwa rahisi sana kukitoa hiki kizazi cha watu walio laaniwa(CCM), mimi nikiona ma-jobless wanaongezeka mitaani kwakweli nafarijika sana naamini hawa ndio watu pekee wa kulikomboa hili taifa siku wakiamka.
Hawa CHADEMA na act wazalendo ni CCM wale wale tu hawana jipya tena, wazazi tafadhali sana pelekeni vijana wenu vyuoni wakasome taifa linaangamizwa na wajinga wachache.
Ahahahahaha! Wao ndio watatoa ajira kwa vijana wote?Chadema baba lao