Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,107
[emoji2] [emoji2] jamaa ana kismartdaahh mi hadi kuna wakati niliamua kuishi kibachela tuuu.nilijiona nna nuksi kwa kupata wanawake chizi mapenzi.
😂😂😂😂 Akitaka kutoka ubabe ubabe😀Huyo ni mimi ukiingia hapa hutoki kirahisi[emoji123][emoji123][emoji123]
Hiyo tunaita jeshi la akiba😂Mwanamke aachwi siku unaweza kupanwa na nyegezi ukaanza kuwakumbuka ,ukitaka kumpigia yule simu tayari ulishamwambia sikutaki,
Mwanamke aachwi mimi huwa siwaachi kabisa
Yaliyomo yamo lakini? Mana hilo nalo neno.Huyo ni mimi ukiingia hapa hutoki kirahisi[emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Akitaka kutoka ubabe ubabe[emoji3]
Hayamo walaYaliyomo yamo lakini? Mana hilo nalo neno.
date na 30+[emoji23] mkuu unawapata wapi hata wa hivyo..?
Mi sijawahi pata hata wa kujitokeza anigande. !
Na huu mbamia wangu watanitesa hao..😂date na 30+