Wale tunaofanya kazi kwenye field ya Uhandisi, hasa eneo la Ujenzi (civil engineering) tumekuwa tukiitumia hiyo app Kwa muda mrefu sasa
Mradi wa kilomita 30 ama 100 za Lami ama Mradi wa Maji, ndani ya Siku mbili umeshakusanya data na kuanza usanifu ofisini.
Utakuwa umechelewa kuijua tu