Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,810
- 40,562
Sio ina feature Kama Android, hio ni Android.Aje anipe uzoefu wake nimeikuta mahali huku mtandaoni inapendeza naona ina features kama za andoid.
View attachment 1172368View attachment 1172371Phoenix OS x86 Free Download
Phoenix OS x86 Free Download Latest Version for Windows. It is full offline installer standalone setup of Phoenix OS x86.getintopc.com
cc Chief-Mkwawa
hasa ndio nilikuwa na lengo hilo nitafute kilaptop cha kidwanzi niweke hiyo os.Sio ina feature Kama Android, hio ni Android.
Kuna project inaitwa Android x86, ambayo inaport Android kwenye pc then wachina wanaimodify na kuweka majina yao, Kuna Phoenix os, remix os etc.
Kama una ki laptop Cha zamani unaweza kukipa nguvu na hio.
Kwa nini ki laptop cha zamanihasa ndio nilikuwa na lengo hilo nitafute kilaptop cha kidwanzi niweke hiyo os.
Sababu laptop ya kisasa yenye ram ya kutosha huna haja kuweka Android, unaweka windows, then Android unafanya tu emulation kwa kuweka software Kama BlueStacks ama Nox.Kwa nini ki laptop cha zamani
Mkuu upo?Ngoja waje wahusika
Hujambo?ndio unaitumia kama android katk pc
Hapa nimeelewa sasa.Sababu laptop ya kisasa yenye ram ya kutosha huna haja kuweka Android, unaweka windows, then Android unafanya tu emulation kwa kuweka software Kama BlueStacks ama Nox.