No I dont want to remember about that pig
You see one time
when my breast were stiff
and it was very tight down there
I met a young man carrying ..
May a mad dog chew his testicles.
Mstari huu ndio ulinifanya nikiokote na kukisoma.
Mkuu BabM jina la kitabu ukiuliziacho ni After 4.30 na mwandishi wake ni jamaa mmoja maarufu sana huko Kenya anaitwa David G. Maillu...
Maandishi hayo uliyoyaambatanisha bila shaka ni ushairi kutoka sura ya pili yenye kichwa cha sura "What it is to be a woman"...
Picha ya mbele ya kitabu hiki kilichofanyiwa utunzi mnamo mwaka 1974/75 kwa toleo la kwanza na 1987 kwa toleo la pili ni hii hapa chini sijui kama itaonekana kwa uzuri...
Mkuu unatisha....! Hiki kitabu nilikisoma zamani saana!
"No, I don't want to remember about that pig
You see, one time, when my breasts were stiff
and it was very tight down there!
I met a young handsome man
a good Christian, I suppose, because
he carried double Christian names
Paulo Silvesta, that is
Paulo Silvesta Mbelenzi, hell!
May a mad dog chew his testicles!"
Ni kitabu maarufu mkuu ingawaje ni cha zamani sana...
Sema mnatisha, wapo 8 hao mtu mmoja ni ngumu kuweza kudadavuwa bila kupewa jina la kitabu.Mkuu unatisha....! Hiki kitabu nilikisoma zamani saana!
Unaleta utoto ni lini x imegeuka kuwa s? Wewe huwezi kuandika neno SANA?MKUU WATU 8 UNATISHA XANA. Big up, endelea kuwa msaada.
Sema mnatisha, wapo 8 hao mtu mmoja ni ngumu kuweza kudadavuwa bila kupewa jina la kitabu.
Unaleta utoto ni lini x imegeuka kuwa s? Wewe huwezi kuandika neno SANA?
Nimekukubali mkuu....
Nilikisoma zamani sana na natamani nikisome tena...
Nitakitafuta!
Ni kitabu maarufu mkuu ingawaje ni cha zamani sana...
Ukipata uniambie.......nataka nikisome pia.......nijue nini ilitokea after hiyo saa kumi na nusu.........
"No, I don't want to remember about that pig
You see, one time, when my breasts were stiff
and it was very tight down there!
I met a young handsome man
a good Christian, I suppose, because
he carried double Christian names
Paulo Silvesta, that is
Paulo Silvesta Mbelenzi, hell!
May a mad dog chew his testicles!"