Kuna anaefahamu hii namba ni ya wapi?

Kuna anaefahamu hii namba ni ya wapi?

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,720
00222235147

nimemiss hii call sasa nashindwa kupiga tena maana ni landline. sasa kama kuna anaweza niambia ni ya wapi.

Asanteni
 
Huwa zinakuwapo hata wewe unaweza kupiga kwa kuweka hizo 00 na simu itaita kama kawaida
 
hizo ni namba za shetani mtoa roho na kama kakupigia jua atakutembelea leo usiku, mkuu unalo leo usiku
 
Hiyo Ni Namba Ya Ma Ccm! Yako Katika Mkakati Wa Kuomba Kura, Ila Yameshtuka Kuwa Wewe Ni Mwana Mabadiliko!
 
00 ni sawa na + ..
. Sasa cjui unatishika na nini hapo
 
Hiyo ni namba ya mtandao wa Ttcl landline. Edit kwa kuondoa 0 moja kati ya hizo 2 za mwanzo kisha piga.
 
Kweli dotcom balaa. Kijana hajui code ya Dar kwenye mtandao wa ttcl.
Tanzania imeruka toka landlines kwenda mobile phones. Si mbaya!
 
Back
Top Bottom