Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,610
- 16,179
Sisi ni watetezi wa haki, uhuru, mapinduzi ya kiuchumi, fikra, n.k., sisi ni wapenda amani, tunapinga rushwa (kwenye ilani ya CCM ipo na imewekewa msisitizo), je nyie chama cha mafisadi mnampango gani?Kama ni watetezi wa mafisadi ccm ni watetezi wa nini? na hao mafisadi wako wapi hadi sasa hadi wamsubiri Lipumba aje kuwatimua? kwani mtumbua jipu amechoka hadi asubiriwe Lipumba aliyejiudhulu kurudi chamani? Cuf inakufaje kipindi hiki ambacho kimekuwa cha mafanikio huku bara tangia ianze? think before you comment