Kuna aja ya DNA test au akatae tu

Kakakuona

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
345
Reaction score
201
Kuna jamaa yangu ametengana na mkewe toka mwezi wa tisa mwaka jana leo mkewe amempigia simu na mueleza kuwa ana mimba yake ina miezi 5! Kwa hali kama hyo unamshauri nini?
 
Inawezekana kweli akawa nayo km mwez wa9 walikuwa wote, DNA zenyewe wanaume wengi wanakimbiaga tu kusema mtoto akizaliwa ata izo habar azipo tena eti eeh ni wangu 2nafanana cjui ela inawauma kutoa au huwa ni nin
 
Kuna jamaa yangu ametengana na mkewe toka mwezi wa tisa mwaka jana leo mkewe amempigia simu na mueleza kuwa ana mimba yake ina miezi 5! Kwa hali kama hyo unamshauri nini?

Kwanini walitengana ..??
 
Inawezekana kweli akawa nayo km mwez wa9 walikuwa wote, DNA zenyewe wanaume wengi wanakimbiaga tu kusema mtoto akizaliwa ata izo habar azipo tena eti eeh ni wangu 2nafanana cjui ela inawauma kutoa au huwa ni nin
kweli kama walikutana inawez kuwa yke ila kwann hadi mimba inafika mwezi wa tano ndyo anamwambia?
 
Situations za m2 anapokuwa na mimba ni tofauti na anapokuwa mzima yaweza kuwa alipata hasira sana akaamue awe kimya tu na hata ktk kumwambia labda pia ameshauriwa sana amwambie mhusika na pia inategemea walivyoachana coz kwa vyovyote vile haikuwa kwa mapenz mema, kwa hali iyo unafikiri km m2 ana hasira atakumbuka vya kuambizana mambo ya ujauzito
 
Inawezekana. Lkn kuondoa mashaka, maulizo ulizo na wasiwasi DNA ifanyike
 
Get 'em to Maury show, y'all gonna be up on the Maury
show.
 
anavyodai jamaa huyo mkewe alikuwa na mahusiano na jamaa mwngine ndyo maana anamashaka na hyo mimba

mwenye maamuzi ya mwisho ni jamaa yako. Na kama alikuwa anajua kuna mtu mwingine hapo kuna mtu anataka kupewa majukumu ambayo hayamhusu.
 
Ya... jamaa amwambie atacomment mtoto akizaliwa
 
Itakua yake bana,hata kama mke alikua na jamaa pembeni yy c mjinga aachie mimba iingie ya mtu tofauti na mme wake,Zaidi asubiri mtt azaliwe,mungu hua anawaumbua wanaume wa hvyo!
 
DNA test ni muhimi hapo ila uamuzi wa mwisho ni wa jamaa, kwa mm hata kama ndani ya ndoa DNA ni lazima
 
huyo rafiki yako naye mjinga tu amempa stress mkewe mpaka wameshindwana kiasi mke anapata ujauzito anashindwa kumwambia. wanaume muache visilani jamani
 
DNA tu hapo hawa wanawake wanatupa watoto ambao c wetu,utafiti uliofanyw unaonyesha 70% ya wanaume tanzania wanalea watoto si wao (wamebambikiwa watoto).
 
Ni jamaa yako au ni wewe mkuu? Huenda huyo jamaa ndo alisababisha mke wake akawa na mahusiano ya nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…