Kuna aina ngapi za kuzaa?

Kuziwa

JF-Expert Member
May 23, 2011
248
212
Habari wanajamvi! Kuna aina mbalimbali za birth complications kama vile miscariage(kuharibika kwa mimba), still birth(kuzaa mtoto aliyekufa), kuzaa mtoto njiti na scissarian delivery(kuzaa kwa operation).

Nina maswali katika complications za aina mbili hapo juu; kuzaa kwa operation na miscariage.

Swali la 1. Kwa nini wanawake wafupi wanazaa kwa operation mara nyingi kuliko wanawake warefu?

Swali la 2. Kuna uhusiano gani kati ya kuharibika kwa mimba/miscarage na wanawake wanaojichubua? chunguza wanawake wanaochichubua ile iliyopitiliza hua na historia ya kuharibika mimba.

Nia ya swali hili la pili ni kupata majibu ya kitaalam ambayo yatawasaidia dada zetu kuachana na chemicals wanazotumia kubadili rangi zao.

Karibuni wadau.
 
Back
Top Bottom