fikra za ajabu
Member
- Mar 29, 2015
- 33
- 5
Msaada tafadhali,hivi kuna aina ngapi za HDMI cable/ports maana naona kwenye laptop yangu kuna port ya HDMI ambayo iko tofauti na ninazoziona kwenye dvd players au tv
Asante sana mkuu kwa kunielewesha,sasa nimeelewa kuwa HDMI cable na display port ni tofauti kabisa,na nimechunguza vzr kwenye laptop yangu nikagumdua kuwa ina displa port tofauti na yule aliyeniuzia laptop alinilisha matango pori kuwa ile ni port ya HDMI......Je, kuna uwezekano wa kuunganisha my laptop yenye display port na my Televisio....yaani vitu vya kwenye laptop nivione kwenye TV?
Msaada tafadhali,hivi kuna aina ngapi za HDMI cable/ports maana naona kwenye laptop yangu kuna port ya HDMI ambayo iko tofauti na ninazoziona kwenye dvd players au tv
Mkuu naomba kuuliza MAC PROO INAWEZA KUTUMIA HDMI?
Nahitaji sana hiyo adapter, naomba unifahamishe nitaipata vp mkuu?
Mjini kvd zipo. Sifahamu mtaa unaitwaje ila ni duka maarufu sana.