Kumwacha mpenzi wako umpendae!

makuna202

Senior Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
115
Reaction score
20
Jaman waungwana eti unaweza kumwacha mpenzi wako umpendaye kwa dhati eti kisa hayuko tayari kufanya nawe mapenzi kweli?
 
Jaman waungwana eti unaweza kumwacha mpenzi wako umpendaye kwa dhati eti kisa hayuko tayari kufanya nawe mapenzi kweli?

sasa kama hataki kufanya mapenzi na wewe akafanye na nani wakati wewe ni mpenzi wake? of course unaweza kumwacha ukamtafuta ambaye yupo tayari as you know mapenzi yana nafasi kubwa sana katika mahusiano
 
Tuseme ukweli tu...mtu ambaye hataki kukamuana hakupendi....ukiona mtu anakuzungusha sana(kuna ile kupimana kawaida especialy kama mbaanza)....ila ukioba anakuzungusha bila sababu zamsingi acha manyoya tu...unakua hujapedwa hapo...
 
Dah! kweli mapenzi yana definitions nyingiii...
 
Inategemea ni kwanini hutaki kufanya nae hilo jambo.....!sio jambo lakumuacha mtu hilo
 
Kama kweli unampenda na kumheshimu hutafanya nae mapenzi kabla ya ndoa, otherwise labda kama umemtamani na unakiu ya kutimiza matamanio yako.
 
Jaman waungwana eti unaweza kumwacha mpenzi wako umpendaye kwa dhati eti kisa hayuko tayari kufanya nawe mapenzi kweli?
Jee mlishawahi kufanya mapenzi?? na kama tayari kwanini sasa hivi hataki?? hayo ndio maswala muhimu..
Lakini kama hamjawahi kufanya mapenzi inawezekana anasubiri muda mwafaka.. pia lazima subira nayo iwe na mipaka..!!
 
Jaman waungwana eti unaweza kumwacha mpenzi wako umpendaye kwa dhati eti kisa hayuko tayari kufanya nawe mapenzi kweli?

Kuwa na mwanamke na kumlazimisha kufanya naye uzinzi,akikataa na ukaamua kumuacha, na kwa upuuzi wako umekuja kumfungulia thread humu,je unafikiri nani hampendi mwenzake?

Kipimo cha kupenda kinapimwa kwa uzinzi?
Pole.
 
hivi ndoa ni nini na inaanza wakati gani? maana kila watu wakiuliza mambo ya kukamuana naona mnasema kabla ya ndoa hivi mna maana gani? Angalieni msichanganye mvinyo mpya kwenye viriba vikuukuu! Nakushauri uende nae taratibu kuna siku ataelewa somo tu. Kumwacha ni ujinga maana hiyo ni kususa unachomezea mate. ongea nae taratibu na jaribu mbinu mbadala utashangaa siku atakayokuachia mgodi wote peke yako na ushamba wako!
 
jamani ukweli ni kwamba kula mzigo kuna nafasi kubwa sana ktk mapenzi ya leo demu ambaye hataki kuliwa analiwa pembeni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…