Kumuunga Mkono Rais

Kumuunga Mkono Rais

Eli24

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
165
Reaction score
365
Wana ndugu ..Hivi sis wananchi tunamchague Mbunge kwenda Bungeni kutuwakilisha sis wananchi ktk jimbo lake au Kumuunga Mkono Raisi kwa niaba ya wananchi kutoka jimbo lake??? Maaana mi sielewi kabsaaa hapaaa
 
Wee inaonekana bado bado kiaina, tulia tu utayajua.! ila unatakiwa kila siku uwe jukwaa hili!
 
Wana ndugu ..Hivi sis wananchi tunamchague Mbunge kwenda Bungeni kutuwakilisha sis wananchi ktk jimbo lake au Kumuunga Mkono Raisi kwa niaba ya wananchi kutoka jimbo lake??? Maaana mi sielewi kabsaaa hapaaa
Ndugu yangu inabidi uelewe ndio maana Jana watu wa kuhudhuria mkutano wa kampeni za CCM pale Biafra tulisombwa kutoka gongo la mboto, tabata na mbagala buree kabisa..

Nadhani hapo unapata picha ndg..

Kama wewe ni mdogo kwa umri sema nitumie lugha rahisi zaidi labda utanielewa
 
Mtulia anataka kuwa mbunge wa kumwakilisha rais bungeni.
 
Waulizwa hao wanaomuunga mkono kwa kujidharirisha na kulitia taifa hasara.
 
79536f7ff1684bea3a41b7ddf0b90b07.jpg
 
Back
Top Bottom