Si bora niende google.Pole sana ndugu yangu! Hapa Mwanza yupo mmoja naye ni Specialist wa magonjwa ya ngozi kumwona sh 30,000 (tu)
Nenda Ka Google tu...Si bora niende google.
Hiyo elfu 10 mtu akiwa Bar anatumia kwa beer ngapi? Au watu priority kwao ni beer tu, afya zero.duh tusiokuwa nazo tutaangamia tupende tusipende
Huo ubingwa wake sijauona maana maelezo yake aliyonipa hayatoshelezi kabisa kwa yeye kuitwa bingwa,na kama yangetosheleza nisingesema chochote,mnajivisha majoho ya ubingwa kumbe bure kabisa.Huu ni wizi.Kijana una masikhara kweli wewe, yaani kumuona Daktari bingwa kwa elfu 10,000/- nani kakuongopea??
Kumuona Dr bingwa siyo chini ya shilingi 50,000/- minimum!!