Kuhasi hakumfanyi mbwa kuwa mkali! Isitoshe unapokuwa na mbwa asiye na discipline ni janga kubwa kwa familia yako kuna kesi kadhaa duniani ya member wa familia kuuawa au kujeruhiwa na pet dog wasioshikishwa adabu.
Na unapoamua mbwa awe kwa ulinzi kuna discopline yake pia ,waswahili tunachanganya mbwa mlinzi na mbwa rafiki hiyo nu hatari!
Kumhasi mnyama kutampunguxia kuzurula na pia kutamfanya anenepe sana basi!
Unachokiona hapo si ukali bali nu frustrastion na stress za mbwa kwa kushindwa kisocialize na wenzaje kimgegedo!tena ukifanya masikhara wanaweza kuja vidume wenzake wakamgegeda!