Kumuacha mke wangu itategemea nimemfumania na nani

Kumuacha mke wangu itategemea nimemfumania na nani

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Kuna watu ambao ikitokea nikimfumania nao mke wangu siwezi kumuacha ni hawa.

Watu wenye ushawishi mkubwa: Kama wanasiasa au viongozi wa dini.

Watu hawa wana maneno matamu kama asali. Ikitokea wife akaangukia kwa hawa, nitamsamehe automatically.

Watu wenye ushawishi mtisho (Undue Influence) Kama vile bosi, daktari au mwanasheria (iwapo tuna matatizo ya kisheria). Hapa pia nitaamini wife kashawishika na mazingira.

Nikimfumania na makundi mengine kama vile matajiri, wasanii n.k Talaka ni hapo hapo.
 
Kumbe its better to be with a divert politician::thumbup:
 
asee kuna mtu kakuambia uachane na mkeo?????????????
 
Aisee asante sana mnakaa maeneo gani huko mwakaleli...mm ni mwanasiasa nina maneno matamu balaa nimekua mbunge toka mwaka 80s na kwa kweli sijawahi fanya jambo la maana jimboni kwangu ila wananchi wananikubali sana
 
kama kwa hao wengine umemsamehe yaani kumnyima msamaha kwa hiyo sampuli nyingine,kucheat ni kucheat tu
 
kwan hao mapolitician na maboss ma dushe yao yana tofaut na wasaniii au mtu wa kawaida??? ila nwei sio mbaya kujiweka utayar wa kua mtwasi na hao wenye ushawish!1
 
Umeongea kwa uzoefu mkubwa, inaonekana ushazoea! Sasa subiri zamu ya mtengeneza kucha.
 
Ma-single utawajua tu.....



Kuna watu ambao ikitokea nikimfumania nao mke wangu siwezi kumuacha ni hawa.

Watu wenye ushawishi mkubwa: Kama wanasiasa au viongozi wa dini.

Watu hawa wana maneno matamu kama asali. Ikitokea wife akaangukia kwa hawa, nitamsamehe automatically.

Watu wenye ushawishi mtisho (Undue Influence) Kama vile bosi, daktari au mwanasheria (iwapo tuna matatizo ya kisheria). Hapa pia nitaamini wife kashawishika na mazingira.

Nikimfumania na makundi mengine kama vile matajiri, wasanii n.k Talaka ni hapo hapo.

N
 
Back
Top Bottom