Kumtumia picha

Hakuna usahihi wowote kumtumia picha yoyote Rafiki wa kiume
Na pia haitakiwi mke wa mtu kuwa na Rafiki wa kiume
Dooooh😂😂😂😂😂😂😂,, rafiki wa kiume anakosa gani sasa
 
1. Sio sahihi
2.sio sahihi
3. Haikubaliki
4.usiwe boya unaibiwa
5.sio sawa
6.sio sahihi
7. Ndio mwanzo wa kuchapiwa
8. Unaibiwa bob
9.sio sahihi
10. Sio sawa
 
Habari za mchana wana JF,je ni sahihi mke wa mtu kumtumia picha zake rafiki yake wa kiume?
Tabia hiyo NI kinyume na maadili.. pia usipo kataza na kuonya !! Hatari yake itasababisha ufuska na upotevu wa familia pande zote na Jamii kuwa chafu !!
 
Inategemea picha gani kwa mtu gani na wana urafiki gani maana Kuna picha labda walipiga mazingira ambayo walikuwa pamoja apo sawa au uyo mtu labda walisoma wote au walikuwa pamoja kipindi cha nyuma kama marafiki2 wala hakuna lingine kumtumia mtu picha c vibaya ila kwa nani kuowa au kuolewa hakupotezi uhuru wa mtu kujichanganya na watu kikubwa kutunziana heshima na kujitambua maana atakama hatatuma picha kama akitaka kuchepuka anaweza fanya na usijue peaneni uhuru wa kufurahia maisha
 
inategemeana na aina ya picha + mkutadha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu MKUTADHA ndio nini?
 
Mwanaume hajawahi kosa gia ya kuingilia, mke wa mtu akituma picha hata kama ni ya harusi akiolewa kwengine, stori inaweza kuanzia kusifia gauni alilovaa na kupendeza mpaka kuja kuwa mtongozo live.

Si sawa kabisa mke wa mtu kutuma picha yake kwa mtu mwingine. Mwanaume ukiruhusu hilo unajitafutia matatizo.
 
Mke au binti ukiona umemuambia akutumie Picha zake halafu akatuma basi jua huo ni mwanzo mzuri na si mgumu,ni wewe tu kujipanga vema
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Inategemea inawezakana kaomba picha za utotoni kipindi mpo wachanga
 
Na ashamtumia? Kama kishamtumia ndo basi tena mkataze tu asije toa na biriani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…