Ni sawa 100% mtafute umjueHabari za muda huu ndugu zangu,,
Ningependa kusaidiwa jambo.
Nimegundua kwamba mume wangu ana mchepuko.. mwanzo alikua na michepuko ambayo sikuitilia maanani ila sasa
Natamani sana nimtafute huyo dada nipate closure tu. Kwa maana ndoa hatujafunga bado ni taratibu za mila tu ndo zimekamilika akaniomba kwa wazazi kwasabu tuna mtoto.
Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Huu ushauri wako kwa MWANAMKE ambaye alishapenda na kumchukulia mwanaume aliyenae kama ndio soul mate wake ni ngumu kuufuata maana moyo ulishapenda, moyo ulisharidhika, moyo ulishataka na kujiaminisha kuwa ni mimi tu. Sasa sijui kama atakuelewa. Let's see broWala usimtafute jitahidi uwe mtu wa furaha usimuulize kitu huyo mumeo vaa pendeza usiwe mtu wa kujali kuchelewa kwake japo ina kera sana uone kama haja badilika
Utaendelea kutafuta michepuko ya huyo Mwanaume mpaka lini kipenzi?Je ni sawa nikimtafuta huyo dada?
Haha nadhani unakitu unachotaka kumshauri ila hutaki kukiweka public hapa.βΊοΈUtaendelea kutafuta michepuko ya huyo Mwanaume mpaka lini kipenzi?