Mpitagwa JF-Expert Member Joined Feb 10, 2012 Posts 2,338 Reaction score 1,127 Sep 3, 2013 #1 Wanajukwaa hili, hivi mnafikiri kumsomesha mdada mwenye akili zake, hayupo kwenye dhiki na ana maadili yake mpaka aseme ndiyo ni kazi rahisi? Kama kwenu ni kazi rahisi sikiliza ilivyokuwa ngumu enzi zetu.Eric Donaldson - Hush 1979 - YouTube Sio siku hizi mnasaidiwa na simu CC Bujibuji
Wanajukwaa hili, hivi mnafikiri kumsomesha mdada mwenye akili zake, hayupo kwenye dhiki na ana maadili yake mpaka aseme ndiyo ni kazi rahisi? Kama kwenu ni kazi rahisi sikiliza ilivyokuwa ngumu enzi zetu.Eric Donaldson - Hush 1979 - YouTube Sio siku hizi mnasaidiwa na simu CC Bujibuji
KIJOME JF-Expert Member Joined Jun 7, 2012 Posts 3,084 Reaction score 733 Sep 3, 2013 #2 Namkubali sana huyu musician...