eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,235
- 16,205
Siku zote ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wa rais yeyote hua inaonekana ni mtetezi wa wanyonge lakini kadiri miaka inavyozidi kwenda mambo hubadilika taratibu na mwishowe kupotea kabisa
Sifa za mwanzo zinakwisha sasa raia wanaanza kumlalamikia huku wakisahau kua walimpongeza sana siku za nyuma
Ushauri wangu tu tumuunge mkono huku tukimsubiria ndani ya miaka 4 ijayo kama atakua vilevile au tutakua tunalalamika kama kawaida yetu
Maana ilifika mahali raia wanalalamika wabunge wakalalamika mawaziri wakalalamika hata rais nae akalalamika yaani tukakosa kabisa mtu wa kusema inatosha badala yake ikawa kama ukoo wa kambale