Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

Kumkopa pesa masikini ni kujizalilisha

Hivi siku hizi neno 'dollar' lina maana gani hasa? Isije ikawa ni msemo wa dar!!!!
 
Mhaya gani unakopa hela? wahaya wenzio wanaishi maeneo ya matajiri kule Texas...
 
Nmesoma nmesoma alafu content ikanichanganya nikarudi haraka kuangalia who is OP kumbe sio kiduku lilo Sasa huyu Atakuwa ni New version
 
Habari zenu humu ndani,

Poleni sana na majukumu ya kila siku ya kuijenga nchi yenu mkiwa ndani...sisi huku nje tunaendelea kupambana ili kihakikisha tunaipeperusha vyema bendera ya Tanzania huku ughaibuni

Leo napenda ku-share nanyi kuhusu swala ambalo limenihuzunisha sana ndani ya wiki hii...kuna tetesi nimezisikia baadhi ya wafanyabiashara niliowaazima vijisenti wananitangaza huko nyumbani kuwa nimefirisika. Anyway, sitaki walaumu sana maana kila mtu ana mdomo wa kuongea.

Kama unapenda kutunza heshima yako usipende kuazima pesa kwa watu masikini ambao wamepata mali hivyi karibuni (Self-made riches). Hawa jamaa wanadharau sana.

Kuna mzee mmoja namuheshimu sana ila alichonifanyia nimemshusha kuanzia leo. Anadhani kumiliki kiwanda cha vinywaji na mikate ametoboa...bado sana.

Kuniazima dollar 2.6 million ndo akaamua kunitangaza. Kama hauna hela ya kukopesha watu kwanini usiwaambie kuwa huna? Sasa eti kila akikopwa utasikia " Kuna hela nimemkopesha mtoto wa Professor Rutashoborwa" ya nini yote hayo mzee wangu?

Mbona wenzako hawako hivyo....au umesahau kuwa viwanda vyako vya pwani nilikufanyia mchongo mzee wangu akakukopesha hela ukajenga? Au unadhani kwa ile business plan yako ungepewa USD 70 M? Jirekebisheni ++
Ndege wa aina moja huru na pamoja! Wao wanakusema huko, na wewe unawasema hapa. Kuna tofauti gani, je wote ni masikini, wa fikra?
 
Habari zenu humu ndani,

Poleni sana na majukumu ya kila siku ya kuijenga nchi yenu mkiwa ndani...sisi huku nje tunaendelea kupambana ili kihakikisha tunaipeperusha vyema bendera ya Tanzania huku ughaibuni

Leo napenda ku-share nanyi kuhusu swala ambalo limenihuzunisha sana ndani ya wiki hii...kuna tetesi nimezisikia baadhi ya wafanyabiashara niliowaazima vijisenti wananitangaza huko nyumbani kuwa nimefirisika. Anyway, sitaki walaumu sana maana kila mtu ana mdomo wa kuongea.

Kama unapenda kutunza heshima yako usipende kuazima pesa kwa watu masikini ambao wamepata mali hivyi karibuni (Self-made riches). Hawa jamaa wanadharau sana.

Kuna mzee mmoja namuheshimu sana ila alichonifanyia nimemshusha kuanzia leo. Anadhani kumiliki kiwanda cha vinywaji na mikate ametoboa...bado sana.

Kuniazima dollar 2.6 million ndo akaamua kunitangaza. Kama hauna hela ya kukopesha watu kwanini usiwaambie kuwa huna? Sasa eti kila akikopwa utasikia " Kuna hela nimemkopesha mtoto wa Professor Rutashoborwa" ya nini yote hayo mzee wangu?

Mbona wenzako hawako hivyo....au umesahau kuwa viwanda vyako vya pwani nilikufanyia mchongo mzee wangu akakukopesha hela ukajenga? Au unadhani kwa ile business plan yako ungepewa USD 70 M? Jirekebisheni ++
Hilo ni moja ya matokeo ya kutolipa Deni kwa wakati muafaka. Mimi naona hoja yako ya kumkopa maskini haiendani na uhalisia wa hilo jambo. Huyo ni bosi wa kiwanda,umekopa,muda wa kurejesha Kama mlivyokubaliana hujamrejeshea.We ulitaka anyamaze kimya? Mbona hata mabenk wanadai mikopo yao?
 
Habari zenu humu ndani,

Poleni sana na majukumu ya kila siku ya kuijenga nchi yenu mkiwa ndani...sisi huku nje tunaendelea kupambana ili kihakikisha tunaipeperusha vyema bendera ya Tanzania huku ughaibuni

Leo napenda ku-share nanyi kuhusu swala ambalo limenihuzunisha sana ndani ya wiki hii...kuna tetesi nimezisikia baadhi ya wafanyabiashara niliowaazima vijisenti wananitangaza huko nyumbani kuwa nimefirisika. Anyway, sitaki walaumu sana maana kila mtu ana mdomo wa kuongea.

Kama unapenda kutunza heshima yako usipende kuazima pesa kwa watu masikini ambao wamepata mali hivyi karibuni (Self-made riches). Hawa jamaa wanadharau sana.

Kuna mzee mmoja namuheshimu sana ila alichonifanyia nimemshusha kuanzia leo. Anadhani kumiliki kiwanda cha vinywaji na mikate ametoboa...bado sana.

Kuniazima dollar 2.6 million ndo akaamua kunitangaza. Kama hauna hela ya kukopesha watu kwanini usiwaambie kuwa huna? Sasa eti kila akikopwa utasikia " Kuna hela nimemkopesha mtoto wa Professor Rutashoborwa" ya nini yote hayo mzee wangu?

Mbona wenzako hawako hivyo....au umesahau kuwa viwanda vyako vya pwani nilikufanyia mchongo mzee wangu akakukopesha hela ukajenga? Au unadhani kwa ile business plan yako ungepewa USD 70 M? Jirekebisheni ++
Sawa Dr. Ruta tumekusikia na tumekuelewa.
Vipi yule Mjomba wako Prof. Rutashubanyuma bado anafundisha pale UDSM. Na yule mchumba wako Dr. Kokunura anaendelea na utafiti wa panya buku pale SUA. Nawatakieni nyote siku njema.
 
Back
Top Bottom