GE2025 Kuminywa kwa CHADEMA kumeathiri siasa za CCM. Uteuzi umeshindwa kuwa gumzo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
4,907
Reaction score
7,123
Waliosema siasa ni sayansi hawakukosea. Siasa inahitaji watu tena wale wenye kujenga hoja.

YAnayoendelea ndani ya CCM kipindi hiki cha kupitisha majina ya wanaotarajia kugombe ubunge na udiwani ni kama mchakato umekosa mvuto.

Zile hamasa hata za 2020 hazipo kabisa. Binafsi naona ni athari ya kuinyamzisha chadema.

Imepunguza ari na ushindani ndani ya wagombea wa CCM.

Pia hata hao wagombea wakionewa wanaona hawana mahali pa kukimbilia.

Hii itume ujumbe kwa wote, tunhitaji upinzani imara ili kupata watu bora. Leo hata CCM wakileta watu ilimradi hakuna namna watwajibishwa kwenye uchaguzi.

Iringa,mbeya, arusha ni baadhi tu ya maeneo CCM walikiona cha moto kwa kutozingatia sifa bora za wagombea.

Je, CCM bado haijifunzi ama ni uroho tu madaraka? Waangalie wasije kukipasua chama pasipo kutarajia.
 
Kijani wenyewe wameshaamua kubaki na kura zao
 
Back
Top Bottom