Mimi ninachoipendea haijawahi kugoma kuingiza salio za Tigo pesa au kumtumia mtu salio kwa bahati mbaya. Raha ya simu salio sio unajisifu una iPhone kuingia JF bando la bure mnaita free nini sijui!- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!
- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!
- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!
- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.
- Muziki wake utadhani una suboufer!
- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!
- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!
Hongera TECNO.
Aaaha cheupeee!!!!Kuna rafiki yangu amenipigia simu ananiambia shunie samahani hii simu imejipiga yaani nikiwa naongea na mtu kwenye simu inajipiga simu nyingine
Shikamooni wenye tecno
Duh noma!Kuna rafiki yangu amenipigia simu ananiambia shunie samahani hii simu imejipiga yaani nikiwa naongea na mtu kwenye simu inajipiga simu nyingine
Shikamooni wenye tecno
Aaaha cheupeee!!!!
Duh noma!
Mixer kujiweka flight mode wakati unazumgumza na simu na kujiwasha torch.unakuta mtu anaongea na simu mchana wa saa sita jua kali ila jisimu limejiwasha tochi.
Watumiaji wa i phone wanajiona washafika mbinguni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ikiamua ku stuck sasa utaimba haleluya maana haipigi, haipokei cm haizimi wala haifanyi chochote...
Shikamoo k7