Kumiliki Bendera Binafsi na ya Taifa

JAY MTAALAM

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
1,595
Reaction score
1,392
Wadau,
Kama inavyosomeka hapo juu..kwa muda mrefu natamani kuwa na Bendera yangu ya utambulisho,asubuhi naipandisha nyumbani kwangu kwenye mlingoti mdogo sio mrefu kama wa ile ya Taifa..pia nakuwa nazo ndogo,moja ndani ya gari nyingine ofisini kwangu.
Kuhusu bendera ya Taifa nahitaji niwe nayo ndani kwangu katika Ofisi inakuwa kama Background nyingine kwenye meza ikinipa hisia ya uzalendo katika nchi yangu..
Je haya yanawezekana..wajuzi wa sheria mje mnifahamishe nisije jikuta hatiani kwamba nataka kuanzisha Taifa ndani ya Taifa..
Karibuni..
 
Mpaka hapo unatakiwa tukuhesabu kama shirika au taasisi kupeperusha ya taifa lazima harafu ndo yako inafata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…