Asante kwa taarifa. Ndo kusema college pekee ambako wanafunzi wanadisco ni informatics tu? Mbona colleges zi zaidi ya hiyo, huko kwingine kuna nini au ndo kusema hawaingii na nondo na vibomu? au wana njia mbadala yao yakuwanusuru?
That's great! wanafunzi wa siku hizi wengi hawataki kusoma kwa bidii,kujifunza kwa kuzingatia kanuni za kujifunza ila wanataka vyeti tu.Take this;mwenye akili anajali kuongeza maarifa na siyo kutafuta vyeti.
Atakuja kufundishwa na waliosoma hapo. Maisha ni duara. Waliosoma hapo watamfundisha au kuwa viongozi/watawala wake. POLE SANA NDUGU, LABDA AKASOME HARVARD AU UDSM; NDIO WANAOMALIZA UDOM HAWAWEZI KUFUNDIHSA HUKO.