Kunywa mchuzi wa pweza, kupaka mundende sidhani kama kunakufanya mwanamke uweze kumridhisha tatizo wanaume wengi mnakurupuka mkianza sex wengi wanakurupuka then 3mn wazungu haoooooo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji2958]
Hivi kwann wanaume mnawaza sana jinsi ya kuwaridhisha wanawake? Na kuwapa hela,?
Wao mbona hawaanzishi uzi wa jinsi ya kumridhisha mwanaume?
Yani hela unatoa na huduma unatoa na kitandan unajikaza, wao ni kupokea kupokea kupokea
Ni ujinga tu pesa umpe, mchakato mzima wa sexy kuanzia nauli, lodge/geto, msosi na gharama zote ni za mwanaume bado kitandani uwajibike kumrizisha sasa uyo mwanamke yeye anatakiwa kuwajibika kwa lipi?
Fact ni kwamba mwambie mwenyewe ajichezee kama atafikisha hizo dakika yani akizidi tano hajakojoa njoo unipige makofi.
Au mchezee mwenzio sana then mwache akae cowgirl aride yeye akizidi hizo 5 hajakojoa basi hana hisia na wewe nimeprove wadada wengi tu.
Issue nyie wengi mnadhani kutwanga tu na kufikisha lisaa ndo anaridhika wakati haipo hivo unaweza kusukuma dakika 40 ila kama hugusi sehemu husika hakojoi ng'oo.
Evil is real! Huu huu mdomo ni muombee MWENYENZI MUNGU , huu huu nilie chakula nishibe, huu huu naenda kuombea kazi na connection, huu huu naenda kumsalimia baba na mama yangu, huu huu bado ni waongozee wanangu na kuwaeleza mema na mabaya alafu huu huu nikalambie MBUSUSU KIBOGOYO mh!