adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,616
Mmabibi na mabwana natanguliza salam, kwa wale waliofunga swaumu makbul walio wagonjwa Mmungu awajazie afya tele.
Leo naomba tupeane habari kuhusu hirizi ya simba hili jambo toka nikiwa mdogo hadi sasa huwa naskia kuhusu hii hirizi ya simba!
Ni kwamba simba akikaribia kufa huwa kuna kitu kama hirizi anakitema ambacho binadamu akikichukua na kukitumia kitu ambacho humfanya aogopwe na kila mtu hadi wanyama.
Kuna namna na njia ya kuitumia kuna wengine naskia humeza jambo ambalo mwisho siku we kufa itakuwa shida unaweza kufa na kufufuka hata mara 60 hadi kuna maswala ufanyiwe ndo unakufa kimojaa!
Me ndo hayo machache nayajua naskia pia mahakamani zinafikiwagwa hapo ndo mana kama una kesi unabaki kutetemeka tu!
Mwenye ujuzi zaidi atuelimishe na jinsi ya kuipata hirizi kirahis