Kumeza dawa za malaria bila kupima

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
26,574
48,723
Ninataka kumeza dawa ya malaria maana nina miaka kama mitatu sijawai kuugua ila nimeng'atwa sana na mbu maana situmii neti.

Ila sitaki kupima, siumwi kichwa wala sina homa ila nachokachoka sana
je nitumie dawa gani?

Na je kuna madhara yoyote kutumia dawa bila kupimwa
asanteni
 
Kuna madhara makubwa sana ya kumeza dawa bila ya kupima, ukila dawa ya malaria bila kupima halafu kumbe huna malaria utafanya vijidudu vya malaria kuwa sugu na dawa siyo chakula kwa hiyo utachakaza mwili wako!....... Usipende sana kula dawa badala yake kula vyakula sahihi, kunywa maji kwa wingi,fanya mazoezi kwa wingi na maintain mind stability kwani hizo ndo dawa ambazo hazina madhara!
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom