Kumekuwa na uhaba wa maji Dodoma siku nne sasa

kunze

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
398
469
Kumekuwa na uhaba wa maji jijini Dodoma sasa kwa takribani siku nne hivi.

Tunaomba mamlaka husika,kutoa taarifa juu ya nini chanzo na hata tuvumilie kwa siku ngano au ndo huduma imesitishwa kabisa.

Asante sana DUWASA kwa ukimya wenu.
 
Ni balaa, naji yenyewe ya chimvi huwezi ogea nusu ndoo ukatakata
 
Dodoma Tuna yatizo la maji Week yote hii

Mamlaka husika inashindwa kututangazia wateja kuna shida gani.

Kweli magufuli ameongeza nidhamu kwa watumishi wa Uma.

Jiwe Out hatukutaki
 
Tena jiwe ni Muongo sana amekuwa na ahadi nyingi zisizo timilika .

1 .Ujenzi wa uwanja wa Taifa wa michezo akishieikiana na mfalme wa Morroco hadi sasa hakuna kitu.

2. Ujenzi wa Hospital ya Uhuru Dodoma fedha za uhuru tangu 2017 hadi leo hakuna kitu.

3Ujenzi wa Barabara ya Pete Ring road hadi leo hakuna kitu.

4. Ujenzje wa Uwanja wa ndege wa Msalato hadi leo hamna kitu.

5. Dodoma jiji haina hata stand moja yenye lami.

Dodoma Tuamke tuikatae CCM na Magufuli tutakuwa Duni hadi lin????????

Jiwe out 2020
 
Back
Top Bottom