Kumekucha na makucha yake

Kumekucha na makucha yake

totoadela

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
370
Reaction score
1,111
Relationship za siku hizi ni kama birthday party, Once the cake is eaten the party is over[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

najua mnafikiria mdogomdogo[emoji23][emoji23] alafu unasikia mtu akisema don't tell anyone about us si bora nikae single[emoji849][emoji849][emoji174] Haya Dj niwekee yatapita ama siku izi hakuna mahaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]

Jamani si nimemis zile maneno yenu nikaona acha nitafute kitu cha kunipea stress za maneno kutoka kwa GT
Nawapenda
 
Ujue huku GT kuna watu wana maneno makali mazito na yenye ukakasi sasa nimeyamis kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23]...Wanakujudge na kujipatia majibu wenyewe wakati hawakujui[emoji28]
Nasubiri mapovu yao
Kazi ipo 😂
 
Back
Top Bottom