bushland JF-Expert Member Joined Mar 6, 2015 Posts 7,015 Reaction score 4,998 Feb 3, 2016 #21 Tatizo la w meku7 said: Tatizo siyo NGO's but tunamulika nafasi yake na mchango wake kama First lady kwa Taifa.. Click to expand... Tatizo la watanzania Ni kulalamika kwa Kila jambo , Kazi hawataki Ni kulalamika usiku na mchana Tu, jamani tuwe bize.
Tatizo la w meku7 said: Tatizo siyo NGO's but tunamulika nafasi yake na mchango wake kama First lady kwa Taifa.. Click to expand... Tatizo la watanzania Ni kulalamika kwa Kila jambo , Kazi hawataki Ni kulalamika usiku na mchana Tu, jamani tuwe bize.
meku7 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 375 Reaction score 266 Feb 3, 2016 Thread starter #22 bushland said: Tatizo la w Tatizo la watanzania Ni kulalamika kwa Kila jambo , Kazi hawataki Ni kulalamika usiku na mchana Tu, jamani tuwe bize. Click to expand... Na first lady wetu ndo kaanza ubize tumuunge mkono
bushland said: Tatizo la w Tatizo la watanzania Ni kulalamika kwa Kila jambo , Kazi hawataki Ni kulalamika usiku na mchana Tu, jamani tuwe bize. Click to expand... Na first lady wetu ndo kaanza ubize tumuunge mkono
BLESS MIHILA JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 304 Reaction score 72 Feb 3, 2016 #23 Tatizo letu watanzania ni kudharauliana ndio maana kusonga mbele inakuwa taabu sana!!!!!!!!!
meku7 JF-Expert Member Joined Jul 20, 2015 Posts 375 Reaction score 266 Feb 3, 2016 Thread starter #24 BLESS MIHILA said: Tatizo letu watanzania ni kudharauliana ndio maana kusonga mbele inakuwa taabu sana!!!!!!!!! Click to expand... Huu sasa uwe wakati wa kazi na sio majungu na dharau tenaa
BLESS MIHILA said: Tatizo letu watanzania ni kudharauliana ndio maana kusonga mbele inakuwa taabu sana!!!!!!!!! Click to expand... Huu sasa uwe wakati wa kazi na sio majungu na dharau tenaa
ZaBeast JF-Expert Member Joined Aug 17, 2015 Posts 777 Reaction score 332 Feb 3, 2016 #25 carrie said: Vizuri Click to expand... Jina lako zuri.... one of my colleague anaitwa Carolyn McLaughlin anafupisha Carrie... Acutally wao wanapenda kumuita hivyo hivi home na shule hadi kazini.. Lina sound well.
carrie said: Vizuri Click to expand... Jina lako zuri.... one of my colleague anaitwa Carolyn McLaughlin anafupisha Carrie... Acutally wao wanapenda kumuita hivyo hivi home na shule hadi kazini.. Lina sound well.
cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 28,999 Reaction score 79,190 Feb 5, 2016 #26 ZaBeast said: Jina lako zuri.... one of my colleague anaitwa Carolyn McLaughlin anafupisha Carrie... Acutally wao wanapenda kumuita hivyo hivi home na shule hadi kazini.. Lina sound well. Click to expand... Shukurani, nililipenda kwa ajili ya lead character wa Sex and the City - Carrie Bradshaw.
ZaBeast said: Jina lako zuri.... one of my colleague anaitwa Carolyn McLaughlin anafupisha Carrie... Acutally wao wanapenda kumuita hivyo hivi home na shule hadi kazini.. Lina sound well. Click to expand... Shukurani, nililipenda kwa ajili ya lead character wa Sex and the City - Carrie Bradshaw.
ZaBeast JF-Expert Member Joined Aug 17, 2015 Posts 777 Reaction score 332 Feb 5, 2016 #27 carrie said: Shukurani, nililipenda kwa ajili ya lead character wa Sex and the City - Carrie Bradshaw. Click to expand... Awosome thats a movie right? Pretty nice yo!
carrie said: Shukurani, nililipenda kwa ajili ya lead character wa Sex and the City - Carrie Bradshaw. Click to expand... Awosome thats a movie right? Pretty nice yo!