Kumekucha bodi ya mikopo

Kumekucha bodi ya mikopo

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Kama unae first year 2015/2016 mwambie majna ya mkopo yametoka hvo bod ya mikopo inakutaka uangalie kama utakubaliana na kiwango ulichopata au utahitaj ufikiriwe upya
wametoa siku mbil leo na kesho,, upatapo taarifa mjulishe na mwenzako mana n taarifa ya uharaka
 
Akili za mbayuwayu hizi

Tangu lini bodi ikanegotiate na loan applicants,eti kama umekubaliana au ufikiriwe upya

WaTZ tuna matatizo sana
 
Kama unae first year 2015/2016 mwambie majna ya mkopo yametoka hvo bod ya mikopo inakutaka uangalie kama utakubaliana na kiwango ulichopata au utahitaj ufikiriwe upya
wametoa siku mbil leo na kesho,, upatapo taarifa mjulishe na mwenzako mana n taarifa ya uharaka

Nyie mnaotangaza info za uongo mtatafutwa na TCRA watch out
 
[h=2] TAARIFA YA UFAFANUZI[/h] Tunapenda kufafanua kuwa taarifa zinazosambazwa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kuwa orodha ya majina ya waombaji wa Mikopo waliofanikiwa kwa mwaka wa masomo 2015/2016 imetoka sio za kweli. Kwa sasa, kazi ya uchambuzi wa maombi ya mikopo yaliyowasilishwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu bado inaendelea.

Mwisho.

1
2
3
4
5

[h=2]istanbul Homes For Sale[/h]
 
Ww Kweli ni mgonjwa!!! watu kama hawa wa kuvumisha uongo wanatakiwa wakamatwe wapelekwe Segerea ili liwe fundisho kwa Wengine!!
 
Back
Top Bottom