Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Mgogoro wa ziwaMalalamiko na manung'uniko dhidi ya uvunjwaji wa haki za binadamu nchini umefanikiwa kupenya hadi kufikiwa kiwango cha kutambulika kimataifa. Hatua hiyo inajionyesha wahisani wa nchi za Ulaya ambao ni wachangiaji wakubwa wa bajeti ya serikali kuongeza masharti zaidi ya utoaji misaada ikiwa ni pamoja na
- uboreshwaji wa haki za binadamu,
- utawala wa sheria,
- uwajibikaji katika matumizi na kudhibiti rushwa.
Mambo haya ni kimhutasari tu lakini kwa wenye uelewa wa watu hawa (wazungu) imejidhihirisha hawakubaliani na mambo yanavyokwenda nchini na hivyo wameongeza masharti kwa nia ya kuibana zaidi serikali kutekeleza matakwa hayo kwa ajuli ya ukuzaji demokrasia ambayo ndio kisingizio cha serikali ya Tanzania ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala bora na rushwa.
Mgogoro wa ziwa
Unampa big up kwa kupotezea swali lako? Au sijaelewa?Hili swali nilimuuliza zitto kabwe alipokuwa anahojiwa jf ,nilimuuliza hv,nyie kama viongozi mna mpango gani wa kuongeza mapato na kupunguza utegemezi kutoka nchi za ulaya ambazo sasa hivi tunaona zipo katika mdororo wa uchumi na inawezekana wakapunguza msaada wao ama kuongeza masharti kutokana na hali ya kiuchumi waliyonayo,je nyie viongozi mmejiandaaje?,,akalipotezea hilo swali na leo ndio ninaona hii makala.big up zitto
Malalamiko na manung'uniko dhidi ya uvunjwaji wa haki za binadamu nchini umefanikiwa kupenya hadi kufikiwa kiwango cha kutambulika kimataifa. Hatua hiyo inajionyesha wahisani wa nchi za Ulaya ambao ni wachangiaji wakubwa wa bajeti ya serikali kuongeza masharti zaidi ya utoaji misaada ikiwa ni pamoja na
- uboreshwaji wa haki za binadamu,
- utawala wa sheria,
- uwajibikaji katika matumizi na kudhibiti rushwa.
Mambo haya ni kimhutasari tu lakini kwa wenye uelewa wa watu hawa (wazungu) imejidhihirisha hawakubaliani na mambo yanavyokwenda nchini na hivyo wameongeza masharti kwa nia ya kuibana zaidi serikali kutekeleza matakwa hayo kwa ajuli ya ukuzaji demokrasia ambayo ndio kisingizio cha serikali ya Tanzania ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala bora na rushwa.
Hapo kwenye uboreshwaji wa haki za binadamu, naanza kusikia harufu ya haki za ushoga.
Unampa big up kwa kupotezea swali lako? Au sijaelewa?
Ni bora hao wahisani wangakazia kabisa msimamo wao,au hata waisishe kbs hiyo misaada.Serikali yetu haifikiri nje ya bakuli(kuomba misaada)ni jambo baya sana kwa nchi tajiri kama hii yenye raslimali za kutosha.Matokeo yake tunafikiri kuiba na kuomba tu.Raisi amehamishia ikulu ktk anga,ni ufujaji tu wa fedha pasi na sababu za msingi.HIVI HATUWEZI KUFIKIRI NJE YA KUTEMBEZA BAKULI KWA WAGENI?