elishababuh
Member
- Oct 6, 2014
- 30
- 0
Kwanini udanganye jina wakati akikuona sura haidanganyi
Wadau wa JF naomba maoni kwa hili, umemtongoza demu akakubali poa lakini ulikuwa unataka kupita naye tu akakuuliza jina ukamdanganya kwenu pia ukamdanganya halafu mwisho wa siku upo home umekaa unasikia geti linagongwa mama yako anaenda kufungua anakutana na mwanamke anamuulizia mtu kwa jina lile ulilo mdanganya sauti unaijua mama anasema hamjui lakini anatoa mwonekano wako wote na mama yako anasema mbona huyo ni fulani na sio jina hilo unalosema anakuita kwa jina lako kamili wewe ungemfanyaje?
Hivi demu wako hataki ujiunge na FB ukakubali kutokujiunga nayo mwisho wa siku uko na msela wako ambaye yupo Facebook na unajua ameoa anakuambia kuna demu ambaye anatafuta mwanaume, unamwambia utakikumjua lakini anakulazimisha kumwona unakuta ni demu wako je ungefanyaje kama ni wewe?
Please jibuni kwa makini
Hv kipi kinauma zaid japo yote yanauma lakini lipi zaidi;ukijua Rafiki yako anatembea na Mama yako au Rafiki yako anatembea na mke wako?
Wadau wa JF naomba maoni kwa hili, umemtongoza demu akakubali poa lakini ulikuwa unataka kupita naye tu akakuuliza jina ukamdanganya kwenu pia ukamdanganya halafu mwisho wa siku upo home umekaa unasikia geti linagongwa mama yako anaenda kufungua anakutana na mwanamke anamuulizia mtu kwa jina lile ulilo mdanganya sauti unaijua mama anasema hamjui lakini anatoa mwonekano wako wote na mama yako anasema mbona huyo ni fulani na sio jina hilo unalosema anakuita kwa jina lako kamili wewe ungemfanyaje?
eti unamdanganya kwenu..... looo afu mama anaenda kumfungulia...... i smell dust on ur age