More problems
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 432
- 257
- Thread starter
-
- #21
Iwapo nitaona wengi waliokaa vibaya bahati mbaya nitapata!?Hahahaaa. Huwezi pata mkuu kwa sababu miaka yabsasa wanaokaa vibaya katika kumi basi wawili ndio wamekaa kwa bahati mbaya.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kwako na malezi ulokulia hakuna kosa?Mbaka saizi ukijiweka kihasara hasara nakula chabo kama kawa alafu ata ukinifuma sijishtukii si umejiachia mwenyewe bhna[emoji2]
Kwahyo tutazame tu[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ktk mktadha tunaosemea kutazama ni Sawa na kuchungulia.Hakika ni kosa kuchungulia. Tazameni. Kitu kikiwa wazi usichungulie bali kimewekwa kionwe. Tazama
Hapana mkuuIwapo nitaona wengi waliokaa vibaya bahati mbaya nitapata!?
Hahahaaa. Huwezi pata mkuu kwa sababu miaka yabsasa wanaokaa vibaya katika kumi basi wawili ndio wamekaa kwa bahati mbaya.
Hahahaaa.Nawe kwenye hili umo kwenye kundi lipi Emmy? La wanane au wawili? Nauliza tu πππ